December 1, 2020

Day

barazalawafanyakazi
Wafanyakazi wote wa Ndaki ya Misitu, Wanyama Pori na Utalli wamealikwa na Rasi wa Ndaki Prof. Suzana Augustino kushiriki kikao cha baraza dogo la wafanyakazi. Kikao hicho kimeweza kujadili mambo mbalimbli ikiwemo kupokea taarifa ya yatokanayo na Mkutano wa 119 wa Baraza Kuu la wafanyakazi, kupokea na kujadili hoja za kuwasilishwa kwenye Mkutanowa 120 wa...
Read More