Uncategorized

Category

Tanzia Ndugu Wanafunzi na alumni ya WLD Sua! Kwa Masikitiko makubwa ninawataarifu kwamba Mwana Ndaki Mwenzetu Dr. Lusambo hatunaye tena. Ni habari mbaya saana Mungu atupe uvumilivu. Taarifa za mazishi na utaratibu mwingine vitatolewa na ofisi ya Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii. Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe Mkuu wa idara hii
Read More
Wakurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro Vijijini na Kilosa watembelea walitembelea Banda la Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii.
Read More
Rasi wa Ndaki ya Misitu, Wanyapori na Utaliii Prof. Suzana Agustino akitoa maelezo kwa mgeni rasmi Waziri Mkuu mstaafu Mhe. Mizengo Pinda alipotembelea banda la Ndaki katika maonyesho ya Nane nane ya mwaka 2022 Morogoro.
Read More
1 2 3

Upcoming Events