×

Warning

Joomla\CMS\Filesystem\Folder::create: Could not create folder.Path: /var/www/html/cfwt/economics/cache/expose

TAARIFA KWA WANASUASO

Serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kupitia wizara ya Mikopo, inapenda kuwataarifu wanasuasa kuwa zoezi la kusaini pesa za chakula na malazl robo ya 3 (boom quarter 3) litaanza rasmi tarehe 29.5.2020 slku ya ijumaa mpaka tarehe 31.5.2020 siku ya jumapili kuanzia Saa 3 asubuhi mpaka saa 11 jioni. Hatua hii ni kufuatia agizo la serikali la kufungullwa kwa taasisi za elimu ya juu iflkapo tarehe 1,Juni 2020. Zoezi la kusaini (manually and fingerprints) litafanyikia MULTIPURPOSE HALL (KAMPASI KUU) na FREEDOM SQUARE (MAZIMBU KAMPASI).
Aidha, Zoezi hili litaendelea kwa siku saba baada ya chuo kufunguliwa.
NB: - Wanufaika wote mnakumbushwa kuzingatia maagizo ya serikali katika kupambana na maambukizi ya virusi vya Corana (COVID-19),wakati wote wa zoezi la kusaini.
Imetolewa na;
Aroni Rugemarira
Waziri wa Mikopo, SUASO - 2019/20