ZIARA YA MKUU WA CHUO MH. JAJI (MSTAAFU) JOSEPH SINDE WARIOBA SUA

 ZIARA YA MKUU WA CHUO MH. JAJI (MSTAAFU) JOSEPH SINDE WARIOBA KATIKA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO TAREHE 7 NA 8 NOVEMBA 2018.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine Agriculture SUA

MKUU WA CHUO MH. JAJI (MSTAAFU) JOSEPH SINDE WARIOBA (KATIKATI) AKISINDIKIZWA NA JAJI MKUU (MSTAAFU) MH.MOHAMED CHANDE OTHMAN,(WA KWANZA KULIA) NA MAKAMU MKUU WA CHUO PROF.RAPHAEL CHIBUNDA(WA KWANZA KUSHOTO),  KUPEANA MIKONO NA VIONGOZI WAANDAMIZI BAADA YA KUWASILI CHUONI SUA.(Picha na Tatyana Celestine)

ziara SUA

MKUU WA CHUO MH. JAJI (MSTAAFU) JOSEPH SINDE WARIOBA AKIWEKA SAINI KATIKA KITABU CHA WAGENI KATIKA OFISI YA MAKAMU MKUU WA CHUO PROF. RAPHAEL CHIBUNDA ALIPOWASILI CHUONI.(Picha na Tatyana Celestine)

zia SUA TANZANIA JAJI CHANDE

MWENYEKITI WA BARAZA LA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO SUA, JAJI MKUU (MSTAAFU) MH.MOHAMED CHANDE OTHMAN AKISAINI KITABU CHA WAGENI OFISI YA MAKAMU MKUU WA CHUO MARA BAADA YA KUWASILI CHUONI HAPO.(Picha na Tatyana Celestine)

MkuuwachuosuaTANZANIA

MKUU WA CHUO MH. JAJI (MSTAAFU) JOSEPH SINDE WARIOBA NA MWENYEKITI WA BARAZA LA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO SUA, JAJI MKUU (MSTAAFU) MH.MOHAMED CHANDE OTHMAN WAKITEMBELEA TAFITI ZINAZOENDEA SUA (Picha na Bujaga Kadago)

MKUUWACHUO

MKUU WA CHUO MH. JAJI (MSTAAFU) JOSEPH SINDE WARIOBA NA MWENYEKITI WA BARAZA LA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO SUA, JAJI MKUU (MSTAAFU) MH.MOHAMED CHANDE OTHMAN WAKITEMBELEA TAFITI ZINAZOENDEA SUA (Picha na Bujaga Kadago)

MKUUWACHOJAJIWARIOBASUA

MKUU WA CHUO MH. JAJI (MSTAAFU) JOSEPH SINDE WARIOBA (KATIKATI) AKIZUNGUMZA NA PROF. MAULID MWATAWALA (WA KWANZA KULIA)

MKUUWACHUOSUANAWAADHIRI

MKUU WA CHUO MH. JAJI (MSTAAFU) JOSEPH SINDE WARIOBA NA MWENYEKITI WA BARAZA LA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO SUA, JAJI MKUU (MSTAAFU) MH.MOHAMED CHANDE OTHMAN WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA BAADHI YA WAADHIRI NA WATAFITI WA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO