Kikao cha baraza la Wafanyakazi Ndaki ya Misitu, Wanyama Pori na Utalii

Wafanyakazi wote wa Ndaki ya Misitu, Wanyama Pori na Utalli wamealikwa na Rasi wa Ndaki Prof. Suzana Augustino kushiriki kikao cha baraza dogo la wafanyakazi. Kikao hicho kimeweza kujadili mambo mbalimbli ikiwemo kupokea taarifa ya yatokanayo na Mkutano wa 119 wa Baraza Kuu la wafanyakazi, kupokea na kujadili hoja za kuwasilishwa kwenye Mkutanowa 120 wa Baraza Kuu la wafanyakazi utakaofanyika tarehe 11.12.2020.

barazalawafanyakazi

Wafanyakazi wa Ndaki ya Misitu, Wanyama Pori na Utalli wakiwa wanajitambulisha

barazalawafanyakazi11

 

barazalawafanyakazi1