SHEREHE YA MEI MOSI

Menejimenti ya Chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo inapenda kuwakaribisha Wafanyakazi wote katika sherehe ya Maadhimisho ya siku ya ya Wafanyakzi duniani (Mei Mosi) itakayo fanyika hapa chuoni leo tarehe 01 Mei, 2024, katika ukumbi wa Multipurpose kuanzia saa 4:00 asuhubi. Mgeni Rasmi katika sherehe hiyo atakuwa Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Raphael Chibunda.