October 31, 2018

Day

ngaomonela
Na Halima Katala Mbozi Ndaki ya Misitu Wanyamapori na Utalii  kutoka Chuo  Kikuu cha Sokoine  cha Kilimo(SUA) kwa kutambua na kuthamini mchango ambao  ameutoa  katika kipindi cha  uongozi wake aliyekuwa Makamu wa Mkuu wa Chuo Prof. Gerald  Monela wamemzawadia Ngao ya  shukrani  kwa ajili ya kumpongeza. Akizungumza katika hafla  fupi iliyoandaliwa chuoni hapo Rasi wa...
Read More