May 30, 2024

Day

Tarehe 5 Juni 2024, siku ya mazingira duniani, tunawakumbusha watanzania kuhifadhi mazingira na kujiongezea kipato kwa kuwasajili miradi yao ya kaboni. Kituo cha Taifa cha Kuratibu Kaboni, NCMC, kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), inatambua umuhimu wa utunzaji mazingira na faida za biashara ya kaboni. Kwa sababu hiyo, NCMC inatangaza kazi za kuhifadhi...
Read More