Blog

image baraza adobespark

Kikao cha Baraza Dogo la Ndaki ya Misitu,Wanyamapori na Utalii

Mwenyekiti wa baraza dogo la wafanyakazi Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii Prof. Suzana Augustino akiongoza kikao cha baraza dogo la wafanyakazi la Ndaki mapema tarehe 1.06.2021, katika ukumbi wa Maabara ya Zoolojia.   Wafanyakazi wa Ndaki ya Misitu,Wanyamapori na Utalii, wakifuatilia mkutano wa baraza dogo la wafanyakazi lililofanyika tar 1.6.2021