August 4, 2022

Day

Wakurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro Vijijini na Kilosa watembelea walitembelea Banda la Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii.
Read More
Rasi wa Ndaki ya Misitu, Wanyapori na Utaliii Prof. Suzana Agustino akitoa maelezo kwa mgeni rasmi Waziri Mkuu mstaafu Mhe. Mizengo Pinda alipotembelea banda la Ndaki katika maonyesho ya Nane nane ya mwaka 2022 Morogoro.
Read More