Kikao cha Baraza Dogo la Ndaki ya Misitu,Wanyamapori na Utalii

image baraza adobespark

image baraza adobespark

Mwenyekiti wa baraza dogo la wafanyakazi Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii Prof. Suzana Augustino akiongoza kikao cha baraza dogo la wafanyakazi la Ndaki mapema tarehe 1.06.2021, katika ukumbi wa Maabara ya Zoolojia.

 

20210601 115701 adobespark 3

Wafanyakazi wa Ndaki ya Misitu,Wanyamapori na Utalii, wakifuatilia mkutano wa baraza dogo la wafanyakazi lililofanyika tar 1.6.2021

Related Posts