Tanzia Tanzia Tanzia 😭😭😭

Tanzia
Ndugu Wanafunzi na alumni ya WLD Sua!
Kwa Masikitiko makubwa ninawataarifu kwamba Mwana Ndaki Mwenzetu Dr. Lusambo hatunaye tena. Ni habari mbaya saana Mungu atupe uvumilivu. Taarifa za mazishi na utaratibu mwingine vitatolewa na ofisi ya Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii. Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe
Mkuu wa idara hii

Related Posts