July 26, 2023

Day

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) anapenda kuwaarifu Waombaji wa nafasi mbalimbali za kazi zilizotangazwa tarehe 08.06.2023 kwamba usaili wa nafasi hizo umepangwa kufanyika kuanzia tarehe 01 Agosti, 2023 hadi 02 Agosti, 2023 Katika Kampasi ya Edward Moringe Mjini Morogoro.  Waombaji watakaofaulu katika mchakato huo watapangiwa vituo vya kazi na Menejimenti...
Read More

Global Biodiversity Information Facility