Menejimenti na Wanajumuiya wa SUA wanapongeza Prof Chamshama kwa kuteuliwa na RAIS Samia Suluhu Hassan

Menejimenti na Wanajumuiya wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) wanapongeza Profesa Shaban Athuman Chamshama kwa kuaminiwa na kuteuliwa na RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassani kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF).

Profesa Chamshama ni Profesa wa Sayansi ya Misitu na Mhadhiri Mwandamizi, Idara ya sayansi na hifadhi ya mifumo ikolojia, Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), Morogoro.

 

Global Biodiversity Information Facility

Related Posts