July 4, 2022

Day

BACKGROUND The loss of natural forests through deforestation and forest degradation is estimated to now account for about one fourth of total global greenhouse gas (GHG) emissions (Smith P. et al. 2014). Forests not only serve as an essential carbon “sinks”, they also provide livelihoods, subsistence and income for more than 1.6 billion of the...
Read More
Menejimenti na Wanajumuiya wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) wanapongeza Profesa Shaban Athuman Chamshama kwa kuaminiwa na kuteuliwa na RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassani kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF). Profesa Chamshama ni Profesa wa Sayansi ya Misitu na Mhadhiri Mwandamizi, Idara ya sayansi na...
Read More
Duty Station: Edward Moringe Campus (Morogoro), Olmotonyi Training Forest (Arusha) and Ifinga Training Forest (Madaba) Qualifications: Holder of Bachelor Degree in Forestry or equivalent qualifications from a recognized Institution. Duties and Responsibilities: i. To assist in implementing forestry plans; ii. To assist in solving problems related to forestry activities; iii. To assist in demonstrating silvicultural...
Read More
RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali ikiwemo Profesa Shaban Athuman Chamshama kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF). Profesa Chamshama ni Profesa wa Sayansi ya Misitu na Mhadhiri Mwandamizi, Idara ya sayansi na hifadhi ya mifumo ikolojia, Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), Morogoro.  
Read More

Global Biodiversity Information Facility